Ufafanuzi wa dede katika Kiswahili

dede

nominoPlural dede

  • 1

    msimamo wa mtoto anayeanza kujifunza kusimama bila ya kushikwa au kushikilia mahali.

    ‘Simama dede’

Matamshi

dede

/dɛdɛ/