Ufafanuzi wa degi katika Kiswahili

degi

nominoPlural madegi

  • 1

    sufuria kubwa sana ya shaba ya kupikia chakula kwa wingi kwa ajili ya karamu.

    marigedi

Asili

Khi

Matamshi

degi

/dɛgi/