Ufafanuzi wa deki katika Kiswahili

deki

kitenzi elekezi

  • 1

    safisha sakafu kwa maji na kitambaa, gunia au ufagio.

    ‘Piga deki’

Matamshi

deki

/dɛki/