Ufafanuzi wa dele katika Kiswahili

dele, mdele

nominoPlural dele

  • 1

    buli refu la shaba au fedha la kutilia kahawa.

Asili

Kar

Matamshi

dele

/dɛlɛ/