Ufafanuzi wa delta katika Kiswahili

delta

nominoPlural delta

  • 1

    mahali mto unapojigawanya sehemu mbili au zaidi unapoingia baharini.

Asili

Kng

Matamshi

delta

/dɛlta/