Ufafanuzi wa demani katika Kiswahili

demani

nominoPlural demani

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  kamba iliyo katikati ya tanga la chombo.

 • 2

  Kibaharia
  upande wa chombo usioelekea upepo.

 • 3

  Kibaharia
  upepo uvumao kutokea baharini.

 • 4

  Kibaharia
  majira ya mwaka kutoka mwisho wa Agosti hadi mwanzo wa Novemba au pengine kutoka Aprili hadi Oktoba.

  dhamani

Asili

Kaj

Matamshi

demani

/dɛmani/