Ufafanuzi wa demokrasia katika Kiswahili

demokrasia

nomino

  • 1

    mfumo wa kuendesha serikali iliyochaguliwa na watu kwa manufaa ya watu.

Asili

Kng

Matamshi

demokrasia

/dɛmɔkrasija/