Ufafanuzi wa demu katika Kiswahili

demu

nominoPlural mademu

  • 1

    nguo mbovu iliyopasuka.

    bwende

  • 2

    kitambaa ambacho zamani kilitumiwa na wanawake kuvaa kiunoni au kufunikia maziwa wakati wa kulima.

Matamshi

demu

/dɛmu/