Ufafanuzi msingi wa dengua katika Kiswahili

: dengua1dengua2dengua3

dengua1

kitenzi elekezi

 • 1

  nyoa nywele sehemu ya chini ya kichwa na kuacha shungi sehemu nyingine.

Matamshi

dengua

/dɛnguwa/

Ufafanuzi msingi wa dengua katika Kiswahili

: dengua1dengua2dengua3

dengua2 , nengua

kitenzi elekezi

 • 1

  enda upandeupande kwa kuchezesha kiuno kwa makusudi.

 • 2

  enda upandeupande kama anavyofanya kilema.

  pecha, chechemea, guchia

 • 3

  cheza ngoma vizuri sana.

Ufafanuzi msingi wa dengua katika Kiswahili

: dengua1dengua2dengua3

dengua3

kitenzi sielekezi

Matamshi

dengua

/dɛnguwa/