Ufafanuzi wa depo katika Kiswahili

depo

nominoPlural depo

 • 1

  mahali pa kuwekea magari hasa ya shirika moja.

  ‘Depo ya magari ya serikali’

 • 2

  bohari au ghala la kuwekea vitu, vyombo, n.k..

  ‘Depo ya mafuta’

 • 3

  mahali wanapofunzwa polisi.

Asili

Kng

Matamshi

depo

/dɛpɔ/