Ufafanuzi wa desimali katika Kiswahili

desimali

nominoPlural desimali

  • 1

    sehemu moja ya kumi.

    asilikumi

Asili

Kng

Matamshi

desimali

/dɛsimali/