Ufafanuzi wa detepwani katika Kiswahili

detepwani

nominoPlural detepwani

  • 1

    ndege mwenye rangi nyeupe na nyeusi na anayekula samaki.

Matamshi

detepwani

/dɛtɛpwani/