Ufafanuzi wa dhahabu katika Kiswahili

dhahabu

nominoPlural dhahabu

  • 1

    madini ya thamani yenye rangi ya manjano mbivu ambayo hutumika kufulia vitu vya kujipambia k.v. pete au mkufu na hutumika kama kipimo cha thamani ya sarafu na utajiri wa nchi.

Asili

Kar

Matamshi

dhahabu

/ðahabu/