Ufafanuzi wa dhahania katika Kiswahili

dhahania

kivumishi

  • 1

    -a kufikirika na isiyoshikika.

    ‘Imani za jadi ni mambo dhahania ambayo huwezi kuyathibitisha’

Asili

Kar

Matamshi

dhahania

/ðahanija/