Ufafanuzi msingi wa dhahiri katika Kiswahili

: dhahiri1dhahiri2

dhahiri1

kielezi

  • 1

    bila ya kuficha.

    bayana, wadhiha, jahara, kinaganaga, waziwazi, kinagaubaga

Asili

Kar

Matamshi

dhahiri

/ðahiri/

Ufafanuzi msingi wa dhahiri katika Kiswahili

: dhahiri1dhahiri2

dhahiri2

kivumishi

  • 1

    inayofahamika, -sio siri.

Matamshi

dhahiri

/ðahiri/