Ufafanuzi msingi wa dhaifu katika Kiswahili

: dhaifu1dhaifu2

dhaifu1

kivumishi

  • 1

    -enye kudhoofu; -enye unyonge.

    legevu, dhilifu, hafifu, nyonge

  • 2

    -enye ubaya.

    tule

Asili

Kar

Matamshi

dhaifu

/ðaifu/

Ufafanuzi msingi wa dhaifu katika Kiswahili

: dhaifu1dhaifu2

dhaifu2

nominoPlural dhaifu

Asili

Kar

Matamshi

dhaifu

/ðaifu/