Ufafanuzi wa dhakari katika Kiswahili

dhakari

nomino

  • 1

    tupu ya mbele ya mwanamume.

    firaka, uume, mboo, jengelele, zubu

Asili

Kar

Matamshi

dhakari

/ðakari/