nominoPlural madhalimu
- 1
mtu mwenye kudhulumu; mtu asiye na huruma; mtu asiyetenda haki.
mwonevu, nduli, katili, mnyanyasaji, mwovu
Asili
Kar
Matamshi
dhalimu
/ðalimu/kivumishi
- 1
-enye kudhulumu.
korofi
Asili
Kar
mtu mwenye kudhulumu; mtu asiye na huruma; mtu asiyetenda haki.
Kar
-enye kudhulumu.
Kar