Ufafanuzi wa dhamana katika Kiswahili

dhamana

nominoPlural dhamana

 • 1

  kitu au ahadi inayotolewa kumdhamini mtu anayetaka kukopa mali au anayekabiliwa na mashtaka mahakamani.

  ‘Weka dhamana’
  ‘Komboa dhamana’
  ‘Dhamana ya shirika’
  ‘Dhamana ya taifa’
  aburani

 • 2

  fungo, kafala

Asili

Kar

Matamshi

dhamana

/ðamana/