Ufafanuzi wa dhambi katika Kiswahili

dhambi

nominoPlural dhambi, Plural madhambi

Kidini
  • 1

    Kidini
    kosa la kwenda kinyume na taratibu za kidini.

    maasi, maasia

Asili

Kar

Matamshi

dhambi

/ðambi/