kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa
- 1
wekea ahadi mtu kuwa atatimiza jambo fulani.
- 2
toa fedha hasa mahakamani ili mshtakiwa fulani aweze kuruhusiwa kwenda zake bila ya kuwekwa rumande.
- 3
weka fedha au mali rehani kwa ajili ya kufidia mkopo iwapo utashindwa kuulipa.
feleti
Asili
Kar
Matamshi
dhamini
/ðamini/nominoPlural wahamini
- 1
Asili
Kar