Ufafanuzi wa dhamiri katika Kiswahili

dhamiri

nominoPlural dhamiri

  • 1

    mawazo yanayomfanya mtu kufanya jambo zuri au baya.

    nia, pania

  • 2

    neno linaloashiria mtu fulani bila ya kumtaja k.v. mimi, wewe, yule, n.k..

    kibadala, kiwakilishi

Asili

Kar

Matamshi

dhamiri

/ðamiri/