Ufafanuzi wa dharuba katika Kiswahili

dharuba, dharba

nominoPlural dharuba

  • 1

    pigo la kitu kitumiwacho kupigia au kukatia k.v. shoka au panga.

  • 2

    tufani, kimbunga, halibari, dhoruba

Asili

Kar

Matamshi

dharuba

/ðaruba/