Ufafanuzi wa dhehebu katika Kiswahili

dhehebu

nominoPlural madhehebu

  • 1

    ‘Kanisa la Kiluteri ni dhehebu mojawapo la dini ya Ukristo’

Matamshi

dhehebu

/ðɛhɛbu/