Ufafanuzi wa dhibiti katika Kiswahili

dhibiti

kitenzi sielekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    tia mkononi; weka chini ya mamlaka.

    tunza

Asili

Kar

Matamshi

dhibiti

/ðibiti/