Ufafanuzi wa dhidi katika Kiswahili

dhidi

kivumishi

  • 1

    -enye kinyume na; -enye kupingana na.

Asili

Kar

Matamshi

dhidi

/ðidi/