Ufafanuzi wa dhifa katika Kiswahili

dhifa

nominoPlural dhifa

  • 1

    chakula rasmi, agh. cha jioni, cha mkusanyiko wa watu wengi kwa ajili ya heshima ya mgeni mahususi au sherehe maalumu, ambapo hotuba hutolewa pia.

Asili

Kar

Matamshi

dhifa

/ðifa/