Ufafanuzi wa dhihaka katika Kiswahili

dhihaka

nomino

  • 1

    maneno au vitendo vya kufanyia mzaha.

    utani, mzaha, masihara, kebehi

Asili

Kar

Matamshi

dhihaka

/├░ihaka/