Ufafanuzi wa dhihaki katika Kiswahili

dhihaki

kitenzi elekezi

  • 1

    fanyia mtu mzaha.

    tania, cheka, sagua, cheza

Asili

Kar

Matamshi

dhihaki

/├░ihaki/