Ufafanuzi wa dhihiri katika Kiswahili

dhihiri

kitenzi sielekezi

  • 1

    onekana na kila mtu.

    wazi, jahara

Asili

Kar

Matamshi

dhihiri

/├░ihiri/