Ufafanuzi wa dhihirisha katika Kiswahili

dhihirisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya ijulikane, onyesha waziwazi.

  • 2

    bainisha, tofautisha

Matamshi

dhihirisha

/ðihiri∫a/