Ufafanuzi msingi wa dhikiri katika Kiswahili

: dhikiri1dhikiri2

dhikiri1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  Kidini
  kumbuka wema wa Mwenyezi Mungu kwa kutaja jina lake.

 • 2

  msabihi Mwenyezi Mungu; kuita jina la Mwenyezi Mungu.

  dhukuru

Asili

Kar

Matamshi

dhikiri

/ðikiri/

Ufafanuzi msingi wa dhikiri katika Kiswahili

: dhikiri1dhikiri2

dhikiri2

nominoPlural dhikiri

Kidini
 • 1

  Kidini
  kisomo kinachosomwa na mkusanyiko wa Waislamu kwa ajili ya kulitaja jina la Mwenyezi Mungu.

Asili

Kar

Matamshi

dhikiri

/ðikiri/