Ufafanuzi wa Dhilhaji katika Kiswahili

Dhilhaji, Dhulhaji

nominoPlural Dhilhaji

Kidini
  • 1

    Kidini
    mwezi wa kumi na mbili katika kalenda ya Kiislamu.

    mfungo tatu

Asili

Kar

Matamshi

Dhilhaji

/ðilhaʄi/