Ufafanuzi wa dhoruba katika Kiswahili

dhoruba

nominoPlural dhoruba

  • 1

    upepo wa nguvu nyingi sana.

    tufani, kimbunga, halibari, dharuba

Asili

Kar

Matamshi

dhoruba

/ðɔruba/