Ufafanuzi wa dhulumu katika Kiswahili

dhulumu

kitenzi elekezi

  • 1

    nyima mtu haki.

    onea, taabisha, thakilisha, tesa

Matamshi

dhulumu

/├░ulumu/