Ufafanuzi wa dhumna katika Kiswahili

dhumna, dumna

nominoPlural dhumna

  • 1

    mchezo wa vipande 28 vya mbao, pembe au mpingo, agh. vya pembenne mraba, vyenye madoa yanayowakilisha namba juu yake.

    domino

Asili

Kar

Matamshi

dhumna

/ðumna/