Ufafanuzi wa dia katika Kiswahili

dia

nominoPlural dia

  • 1

    fedha au vitu vinavyolipwa kwa ajili ya hasara au maumivu, hasa malipo anayotoa mtu aliyeua.

    fidia, arshi

  • 2

    malipo yanayotolewa na mgeni kwa utawala wa nchi fulani ili kupata ulinzi wa utawala wa nchi hiyo.

Asili

Kar

Matamshi

dia

/dija/