Ufafanuzi wa dialisisi katika Kiswahili

dialisisi, dayalisisi

nominoPlural dialisisi

  • 1

    tiba ya kuondoa sumu katika damu kwa kutumia mashine kwa mtu ambaye figo lake au mafigo yake yana matatizo.

Asili

Kng

Matamshi

dialisisi

/dijalisisi/