Ufafanuzi msingi wa dibaji katika Kiswahili

: dibaji1dibaji2

dibaji1

nominoPlural dibaji

  • 1

    maneno yanayotangulia kuandikwa au kusemwa kabla ya kuingia kwenye kiini cha yanayokusudiwa kuandikwa au kusemwa.

    utangulizi

Asili

Kar/Kaj

Matamshi

dibaji

/dibaʄi/

Ufafanuzi msingi wa dibaji katika Kiswahili

: dibaji1dibaji2

dibaji2

nominoPlural dibaji

  • 1

    aina ya kitambaa bora na laini cha sufi au hariri.

Matamshi

dibaji

/dibaʄi/