Ufafanuzi wa didimia katika Kiswahili

didimia

kitenzi sielekezi

  • 1

    zama kama katika maji au matope.

    dudumia

  • 2

    pata hasara katika biashara.

Matamshi

didimia

/didimija/