Ufafanuzi wa didimiza katika Kiswahili

didimiza

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kitu kizame.

  • 2

    tia hasara au madhara.

Matamshi

didimiza

/didimiza/