Ufafanuzi msingi wa difensi katika Kiswahili

: difensi1difensi2

difensi1

nominoPlural difensi, Plural madifensi

  • 1

    ulinzi wa mlango wa goli.

Asili

Kng

Matamshi

difensi

/difɛnsi/

Ufafanuzi msingi wa difensi katika Kiswahili

: difensi1difensi2

difensi2

nominoPlural difensi, Plural madifensi

  • 1

    mchezaji wa nyuma katika kandanda anayelinda mlango wa goli.

    ngome

Asili

Kng

Matamshi

difensi

/difɛnsi/