Ufafanuzi wa digali katika Kiswahili

digali

nomino

  • 1

    mrija wa kiko cha kuvutia tumbaku.

Asili

Kaj

Matamshi

digali

/digali/