Ufafanuzi wa diko katika Kiswahili

diko

nomino

  • 1

    mahali pa kuteremkia pwani au bandarini.

    kikwezo

Asili

Kar

Matamshi

diko

/dikÉ”/