Ufafanuzi wa dinari katika Kiswahili

dinari

nomino

  • 1

    sarafu ya fedha ambayo hutumika katika baadhi ya nchi za Ulaya ya Kusini pamoja na nchi kadhaa za Kiarabu.

    pesa

Asili

Kar

Matamshi

dinari

/dinari/