Ufafanuzi wa dinosau katika Kiswahili

dinosau, dinosaria

nominoPlural dinosau

  • 1

    mnyama mkubwa sana mwenye umbo kama la kenge anayeaminika kuwa aliishi miaka mingi sana iliyopita.

Asili

Kng

Matamshi

dinosau

/dinɔsawu/