Ufafanuzi wa dipfriza katika Kiswahili

dipfriza

nominoPlural dipfriza

  • 1

    chombo mfano wa sanduku cha kuhifadhia vyakula na vinywaji katika kiwango cha baridi sana.

Asili

Kng

Matamshi

dipfriza

/dipfriza/