Ufafanuzi msingi wa dira katika Kiswahili

: dira1dira2

dira1

nominoPlural dira

  • 1

    chombo kama saa kitumikacho kumwonyesha msafiri majira au anakoelekea, agh. huwa na mshale uzungukao wenyewe ambao wakati wote huonyesha upande wa Kaskazini.

  • 2

    chombo cha kupimia umbali kwa hesabu ya digrii.

Asili

Kar

Matamshi

dira

/dira/

Ufafanuzi msingi wa dira katika Kiswahili

: dira1dira2

dira2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    punguza nywele na kuzifanya fupi.

Matamshi

dira

/dira/