Ufafanuzi wa dirabu katika Kiswahili

dirabu

kitenzi elekezi

  • 1

    sokota uzi au kamba.

    pota

Matamshi

dirabu

/dirabu/