Ufafanuzi wa dirhamu katika Kiswahili

dirhamu, darahimu

nominoPlural dirhamu

  • 1

    sarafu za dhahabu zikiwa ni sehemu ya dinari.

  • 2

    fedha kwa jumla.

    pesa, fedha

Asili

Kar

Matamshi

dirhamu

/dirhamu/